ProductBidhaa

One workspace for the operating core of your business.Sehemu moja kwa msingi wa uendeshaji wa biashara yako.

Nawiza connects the work that normally gets separated across notebooks, spreadsheets and disconnected tools — without turning daily operations into a complicated software project.Nawiza inaunganisha kazi ambazo mara nyingi hutawanyika kwenye madaftari, spreadsheet na zana tofauti — bila kufanya shughuli za kila siku kuwa mradi mgumu wa programu.

The operating viewMwonekano wa uendeshaji

See the business before you start searching for answers.Ione biashara kabla hujaanza kutafuta majibu.

The overview brings together sales performance, stock attention and operating activity so the first screen already answers the most important questions.Muhtasari huleta pamoja utendaji wa mauzo, tahadhari za stock na shughuli za uendeshaji ili skrini ya kwanza ijibu maswali muhimu zaidi.

Connected capabilitiesUwezo uliounganishwa

Each workflow stays simple. Together they become the business system.Kila mtiririko unabaki rahisi. Pamoja vinakuwa mfumo wa biashara.

Nawiza is designed around a small number of operational primitives that share the same data and the same interface language.Nawiza imejengwa juu ya shughuli chache za msingi zinazoshiriki data na lugha moja ya interface.

ProductsBidhaa

Keep the product catalog clear with pricing, categories, SKU information and stock context.Panga katalogi ya bidhaa kwa bei, makundi, taarifa za SKU na hali ya stock.

InventoryStoo

Track what comes in, what goes out, current quantities and the products that need attention.Fuatilia kinachoingia, kinachotoka, kiasi kilichopo na bidhaa zinazohitaji umakini.

SalesMauzo

Record sales quickly while preserving the transaction history behind your daily numbers.Rekodi mauzo haraka huku ukihifadhi historia ya miamala inayoeleza namba zako za kila siku.

ExpensesMatumizi

Put operating costs beside revenue so the business picture is more useful than a sales total alone.Weka gharama za uendeshaji pamoja na mapato ili picha ya biashara iwe zaidi ya jumla ya mauzo pekee.

TeamTimu

Bring staff into the store workspace while keeping ownership and staff access clearly separated.Waingize wafanyakazi kwenye sehemu ya duka huku umiliki na ruhusa za wafanyakazi zikiwa zimetenganishwa wazi.

InsightsUfahamu

Turn daily activity into an understandable operating view of revenue, stock movement and profit signals.Geuza shughuli za kila siku kuwa mwonekano unaoeleweka wa mapato, mzunguko wa stock na ishara za faida.

From action to insightKutoka hatua hadi ufahamu

Daily work should improve the next decision.Kazi za kila siku ziboreshe uamuzi unaofuata.

When a sale is recorded, Nawiza can reflect the transaction in sales history, stock levels and the operating view instead of asking the user to update multiple places manually.Mauzo yanaporekodiwa, Nawiza inaweza kuonyesha muamala huo kwenye historia ya mauzo, viwango vya stock na mwonekano wa uendeshaji bila kumtaka mtumiaji kusasisha sehemu nyingi kwa mkono.

Operational flowMtiririko wa uendeshajiConnectedImeunganishwa
1
Record the saleRekodi mauzoCapture the transaction onceIngiza muamala mara moja
ReadyTayari
2
Update inventorySasisha stooStock reflects what movedStock ionyeshe kilichotoka
ReadyTayari
3
Preserve historyHifadhi historiaThe event remains traceableTukio libaki likifuatilika
ReadyTayari
4
Refresh the overviewSasisha muhtasariThe business picture changes with the workPicha ya biashara ibadilike pamoja na kazi
ReadyTayari
Start with the coreAnza na msingi

Put the operating picture in one place.Weka picha ya uendeshaji sehemu moja.

Create a Nawiza workspace and start organizing the products, stock and activity that run the business.Unda sehemu ya Nawiza na uanze kupanga bidhaa, stock na shughuli zinazoendesha biashara.

Get startedAnza